FT: CAF Champions League: Raja Casablanca 5-0 Vipers

Tp mazembe mwenyewe hamna kitu. Timu kama imefilisika siku hizi watu wanajipigia tu,,, Hajafika group stage klabu bingwa toka mwaka juzi..

Bila shaka anafainali ya shirikisho ktk kipindi hiko.
 
Simba ajiandae
 
Simba akienda Morocco anapasuliwa 7 na upuuzi wenyewe unaishia hapo.
 
Inaitwa Hamsa ,tano bila
 
Simba hamsa anakuja pigiwa apa apa mkapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…