FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Kazi kwellii aise..

Inatosha lakini hapa tulipo fika..
 
Kipindi cha pili Yanga watabadilika hamtaamini hawa jamaa inawezekana kweli huwa kuna kitu wanfanya wakiingia vyumbani nimeafatilia mechi nyingi zao wanenda bila bila half time wakirudi wanabadilika sana sio bure hapa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
๐‡๐ข๐ข ๐†๐š๐ฆ๐ž ๐ข๐ง๐š๐ž๐ง๐๐š ๐ค๐ฎ๐š๐ฆ๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฐ๐š ๐ค๐ข๐ฉ๐ข๐ง๐๐ข ๐œ๐ก๐š ๐ฉ๐ข๐ฅ๐ข...

๐˜๐š๐ง๐ ๐š ๐ฐ๐š๐ญ๐š๐ฌ๐ก๐ข๐ง๐๐š[emoji736]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ