OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Baleke angejipigia hat trickMarumo angekuwa kashakula mbili kipindi cha kwanza kama angekuwa anacheza na Simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baleke angejipigia hat trickMarumo angekuwa kashakula mbili kipindi cha kwanza kama angekuwa anacheza na Simba
Kisinda bonge la player yule, nisingependa atoke mpaka walau dakika ya 80 hivi.Namwamini nabi
Atamtoa kisinda
Kaka tusaidie LinkAzizi Ki alikuwa na haraka gani kupiga mpira katikati ya uwanja badala ya kutoa pasi?
Daah bila line 2 ilitakiwa tumalize kipindi cha kwanza tukiwa mbele bao 1Utateseka sana mwaka huu
Kisinda mchezaji mzuri ila mfumo wa nabi unambanaKisinda bonge la player yule, nisingependa atoke mpaka walau dakika ya 80 hivi.
Tatizo kubwa..Ila Mayele
[emoji23][emoji23]Morrison yupi? Huyu aliyenenepa Kawa na tackle kama poshyqueen.
Neno nge huja mwisho wa safari, mngefanya hayo sasa hivi mngekuwa nusu fainali na nyieMarumo angekuwa kashakula mbili kipindi cha kwanza kama angekuwa anacheza na Simba
Mbona mnapenda kutia majaribuni wenzenu? Comment kama hii unataka ujibiwe nini sasa?Marumo angekuwa kashakula mbili kipindi cha kwanza kama angekuwa anacheza na Simba
hawa jamaa sio wabaya, yanga wapambane wamalize huu mchezo hapa nyumbani, kwao wasitegemee urahisi.Hawa Marumo kama wako mazoezini yan, very composed
Hamna kitu.. yanga ndo wanachezea chances.. tungeshaongoza mdaa.Hii ndio mechi sasa.
Siyo wale vibonde rivers