FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Kazi kwellii aise..

Inatosha lakini hapa tulipo fika..
 
Kipindi cha pili Yanga watabadilika hamtaamini hawa jamaa inawezekana kweli huwa kuna kitu wanfanya wakiingia vyumbani nimeafatilia mechi nyingi zao wanenda bila bila half time wakirudi wanabadilika sana sio bure hapa 😁😁😁
 
𝐇𝐢𝐢 𝐆𝐚𝐦𝐞 𝐢𝐧𝐚𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐤𝐮𝐚𝐦𝐮𝐥𝐢𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐩𝐢𝐧𝐝𝐢 𝐜𝐡𝐚 𝐩𝐢𝐥𝐢...

𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐚𝐬𝐡𝐢𝐧𝐝𝐚[emoji736]
 
Back
Top Bottom