FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

nafasi imepotea au kipa yupo fiti

Your browser is not able to display this video.
 
Hivi vijamaa vinacheza mpira kwa confidence ya ajabu sana
 
Reactions: 511
dakika ya 87 mpira si uishe tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: 511
golini kwa Marumo sio kwa kuremba, bila maamuzi ya haraka watatupokonya sana mipira


Your browser is not able to display this video.
 
Hahahahaha hawa jamaa wanapata wapi confidence ya kucheza mpira under pressure kwenye eneo lao lililozungukwa na wapinzani?
 
Hivi vijamaa vinacheza mpira kwa confidence ya ajabu sana
Yanga ni bora kuliko wao...
Vinacheza kwa dharau, Yanga wakiwnda South wa press tu watawafunga nyumbani kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…