FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Hahahahaha hawa jamaa wanapata wapi confidence ya kucheza mpira under pressure kwenye eneo lao lililozungukwa na wapinzani?
Wanajua kule bondeni ni uhakika
 
Leo Nimejua Kwanini wachezaji wengi wa Kigeni Ligi ya SA inawashinda.

Huyu Mayele Akicheza SA msimu Mzima Anaweza Asitoke na Goli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…