Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nnVAR Oyeeeee. [emoji1787][emoji1787]
Nilisema, hahahahaaaTayari huko 😆
Yanga ni bora hilo ndilo jibu straightBado najiuliza haya mafala mazulu yaliwatoaje Pyramid yamenikera majinga mataahira.
kwani inakuuma sana?Bado najiuliza haya mafala mazulu yaliwatoaje Pyramid yamenikera majinga mataahira 😡🤬
Wewe wasemaHawa jamaa inaonekana kuwa wana uwezo wa kukimbia lakini kwa nini hawakimbii. Kuna jambo gani wanaficha??