FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Asante Mungu, tulianza nawewe na tumemaliza nawewe... 🙏🙏🙏

Hapa hatujawafunga wacheza kwaito tu, moja lao moja la Madunduka FC.

Yanga Daima mbele, nyuma mwiko...
🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰
 
Asante Mungu, tulianza nawewe na tumemaliza nawewe... 🙏🙏🙏

Hapa hatujawafunga wacheza kwaito tu, moja lao moja la Madunduka FC.

Yanga Daima mbele, nyuma mwiko...
🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰
Aminaaaaaaaaaaaahhh!
Amiiiinnnnaaaaaa kubwaaaaaaa🤸🤸🤸🤸💃💃💃💃💃🕺🕺🕺🕺
 
Huyu Morrison alitajwa jana kwamba hana kitu kwa sababu baadhi ya wachezaji wa hii timu ngeni waliwahi kucheza naye, ila hapa kawaonyesha kuwa siyo Morrison yule aliyepigwa burn bondeni kwa mabida...

¶asante mwalimu kashasha kwa uchambuzi wako...
 
Bahlabane ba Ntwa
Uzofika nje e-FNB soweto uzosiqedela umdlalo, kodwa wenze umzamo omncane...
 
Niwakumbushe tu utopolo, first half kule Sauzi mtakula tatu, second half mtakula mbili..

Jamaa wanajua naamini hata nanyi mmeona hilo, huo utani waliouleta hapa kule kwao utaenda kugeuka kilio kwenu, Jumatano ijayo sio mbali tukutane hapa.
 
Back
Top Bottom