FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Halikubadilishwa jina mama,ni kombe kipya baada ya kufutwa CAF cup ambayo Simba wakifika final na CAF winner's cup,Kisha likaletwa confederation cup ndiyo Hilo,ni UEFA walifuta UEFA cup wakaleta Europa na conference,ni makombe mapya
Ila basi sawa na sisi tulifika wkt huo yakiwa ktk ukubwa wake..
 
Sasa sisi tumeshiriki mara ngapi na nyie ndo mmefika hatua hii baada miaka mingapi kuishia group stage?? Au ndo mmeshajisahaulisha tena na kutuona hatuna thamani kisa mmefika nusu fainali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…