FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

EA8178A7-B7F2-4A49-8522-D79190DC0C7E.jpeg

Namna hiyo
 
Halikubadilishwa jina mama,ni kombe kipya baada ya kufutwa CAF cup ambayo Simba wakifika final na CAF winner's cup,Kisha likaletwa confederation cup ndiyo Hilo,ni UEFA walifuta UEFA cup wakaleta Europa na conference,ni makombe mapya
Ila basi sawa na sisi tulifika wkt huo yakiwa ktk ukubwa wake..
 
Sio kubadilishwa jina haya mashindano hayakuwepo kabla ya 2003.
Mashindano haya ni mapya na yametokana na kuunganishwa kwa mashindano mawili ambayo ni kombe la CAF na kombe la washindi Africa sasa mrembo wewe ni lini ulifika hatua hii na Simba yako kwenye mashindano haya ya shirikisho tuanzie hapa.?
Sasa sisi tumeshiriki mara ngapi na nyie ndo mmefika hatua hii baada miaka mingapi kuishia group stage?? Au ndo mmeshajisahaulisha tena na kutuona hatuna thamani kisa mmefika nusu fainali?
 
Back
Top Bottom