Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
๐๐ ๐ฃ๐๐ฆ๐๐ ๐ฎ๐ง๐๐ญ๐ฎ๐ฉ๐๐ง๐ ๐ ๐ฅ๐ข๐ฏ๐Hawawezi Kutoka, wana Wiki 1 ya Kujiandaa. Kumbuka Pyramids Alishinda Kwao kwa Madiba Akachezea 2
Hawa Yanga Watapigwa hata 4
Hayo walio ogapa kufungana kwa ku ogapa kukutana na Yanga au wengine?Kwa mpira huu wa asec na hawa algeria ninao uona hapa itoshe tu kusema safari ya jangwani imeishia hapa.poleni sana na hongereni kwa kucheza nusu fainali.
Ndiyo maana kamalizana nayo hapa hapaWeeee watammalizaa weeehh!! Hata wakati akiwa makolo hakuendaga Sauzi kisa ikoiko!
Kwani huwaoni wanavyoteseka Swahiba. ๐คฃ๐คฃ๐คฃSwahiba fainali ileeee ๐๐,kama nawaona makolo wanavyoumia ๐คฃ๐คฃ
Tumewapiga kama ngoma ya Mdumange,na bado tutawapiga๐Mtapigwa kama ngoma
Kwani huwaoni wanavyoteseka Swahiba. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Naomba umsalimie yule aliyeanzisha uzi wa kuielezea Marumo. ๐๐
NdioUna hela sasa
Sasa ndio tutawsaidia kuhakikisha wana t*ombeka kingese kama ngoma yao inavyoitwa huko huko kwao. Sisi sio mbumbumbuUnaambiwa kule South Marumo Wana goma lao huwa linaimbwa kabla ya mechi hizi za kimataifa linaitwa thombeka gobese hatar sana hiyo kitu na once likipigwa bas jua ushindi lazima.
[emoji16][emoji16][emoji16]Baghoshaa sio bhangosha...
Eti kiulaaiini. Mwaka jana na Makolo wangefika huku basi kama ni rahisi. Teh teh. ๐Yanga anabeba kombe la losers kiulainiiii
Inabidi ajikaze tu atoke kwani hii ndio Yanga. ๐คฃ๐คฃView attachment 2617384
Alieanzisha ule uzi toka alipoingia kwenye iko chumba jana jioni hadi leo hajatoka ๐
Nani kamzuia?Baleke angejipigia hat trick
๐๐Inabidi ajikaze tu atoke kwani hii ndio Yanga. ๐คฃ๐คฃ
Hii statistic uliyo weka sio sahihi.Updates
Half Time Yanga 0-0 Marumo
Goal
68" Aziz Ki
70" Yanga 1-0 Marumo
Goal
92" Bernard Morison
94" Yanga 2-0 Marumo
FT: Yanga 2-0 Marumo
Mabingwa wa Tanzania, Dar es Salaam Young Africans maarufu kama Yanga, jioni ya leo watashuka dimbani uwanja wa Benjamini Mkapa kupambana na timu ya Marumo Gallants ya kutoka Afrika ya Kusini katika mechi ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho hatua ya kwanza
Mechi hiyo itayochezwa saa kumi ya jioni, itakuwa ni muhimu kwa Yanga kupata ushindi mzuri kabla ya kwenda nchini Afrika Kusini kwa ajili ya mechi ya marudiano
Nitakuwa nawe katika kufuatilia na kuhabarisha kile kitakachokuwa kinajiri kwenye dimba la Mkapa jioni hiyo
Mungu Ibariki Yanga, Mungu ibariki Tanzania
Wame shindwa kulipiga hadi wana shuka darajaUnaambiwa kule South Marumo Wana goma lao huwa linaimbwa kabla ya mechi hizi za kimataifa linaitwa thombeka gobese hatar sana hiyo kitu na once likipigwa bas jua ushindi lazima.
Ndiooo..ww tafuta habari yakeAliwatapeli kumbe
South Africa timu zenye vibe ni Orlando Pirates na Kaizer chiefs tu, timu nyingine zote kama unazizidi uwezo unawakanda vizuri tu kwao.Unaambiwa kule South Marumo Wana goma lao huwa linaimbwa kabla ya mechi hizi za kimataifa linaitwa thombeka gobese hatar sana hiyo kitu na once likipigwa bas jua ushindi lazima.
mlianza na mazembe mkaja kwa river mkaona aitosh ss mmehamia kwa mallumo bada ya mallumo chaguen mapema kati ya assec na us alger mapema atutak lawamaUnaambiwa kule South Marumo Wana goma lao huwa linaimbwa kabla ya mechi hizi za kimataifa linaitwa thombeka gobese hatar sana hiyo kitu na once likipigwa bas jua ushindi lazima.