FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Hawawezi Kutoka, wana Wiki 1 ya Kujiandaa. Kumbuka Pyramids Alishinda Kwao kwa Madiba Akachezea 2

Hawa Yanga Watapigwa hata 4
๐–๐ž ๐ฃ๐š๐ฆ๐š๐š ๐ฎ๐ง๐š๐ญ๐ฎ๐ฉ๐š๐ง๐ ๐š ๐ฅ๐ข๐ฏ๐ž

๐๐ฒ๐ซ๐š๐ฆ๐ข๐๐ฌ ๐ฆ๐ž๐œ๐ก๐ข ๐ฒ๐š ๐ค๐ฐ๐š๐ง๐ณ๐š ๐ฐ๐š๐ฅ๐ข๐ญ๐จ๐ค๐š ๐๐ซ๐š๐ฐ 1-1

๐Œ๐ž๐œ๐ก๐ข ๐ฒ๐š ๐ฉ๐ข๐ฅ๐ข ๐Œ๐š๐ซ๐ฎ๐ฆ๐จ ๐š๐ค๐š๐ฌ๐ก๐ข๐ง๐๐š 1 ๐›๐ข๐ฅ๐š

๐‡๐ข๐ณ๐จ ๐ฆ๐›๐ข๐ฅ๐ข ๐ณ๐š ๐ฐ๐š๐ฉ๐ข?
 
Kwa mpira huu wa asec na hawa algeria ninao uona hapa itoshe tu kusema safari ya jangwani imeishia hapa.poleni sana na hongereni kwa kucheza nusu fainali.
Hayo walio ogapa kufungana kwa ku ogapa kukutana na Yanga au wengine?
 
Unaambiwa kule South Marumo Wana goma lao huwa linaimbwa kabla ya mechi hizi za kimataifa linaitwa thombeka gobese hatar sana hiyo kitu na once likipigwa bas jua ushindi lazima.
 
Kwani huwaoni wanavyoteseka Swahiba. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Naomba umsalimie yule aliyeanzisha uzi wa kuielezea Marumo. ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ
07A0ED57-36EB-4A11-A9F8-528861FFC5B6.jpeg

Alieanzisha ule uzi toka alipoingia kwenye iko chumba jana jioni hadi leo hajatoka ๐Ÿ˜€
 
Unaambiwa kule South Marumo Wana goma lao huwa linaimbwa kabla ya mechi hizi za kimataifa linaitwa thombeka gobese hatar sana hiyo kitu na once likipigwa bas jua ushindi lazima.
Sasa ndio tutawsaidia kuhakikisha wana t*ombeka kingese kama ngoma yao inavyoitwa huko huko kwao. Sisi sio mbumbumbu
 
Updates

Half Time Yanga 0-0 Marumo

Goal

68" Aziz Ki

70" Yanga 1-0 Marumo

Goal

92" Bernard Morison

94" Yanga 2-0 Marumo

FT: Yanga 2-0 Marumo

Mabingwa wa Tanzania, Dar es Salaam Young Africans maarufu kama Yanga, jioni ya leo watashuka dimbani uwanja wa Benjamini Mkapa kupambana na timu ya Marumo Gallants ya kutoka Afrika ya Kusini katika mechi ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho hatua ya kwanza

Mechi hiyo itayochezwa saa kumi ya jioni, itakuwa ni muhimu kwa Yanga kupata ushindi mzuri kabla ya kwenda nchini Afrika Kusini kwa ajili ya mechi ya marudiano

Nitakuwa nawe katika kufuatilia na kuhabarisha kile kitakachokuwa kinajiri kwenye dimba la Mkapa jioni hiyo

Mungu Ibariki Yanga, Mungu ibariki Tanzania

Hii statistic uliyo weka sio sahihi.

Weka full time statistic
 
Unaambiwa kule South Marumo Wana goma lao huwa linaimbwa kabla ya mechi hizi za kimataifa linaitwa thombeka gobese hatar sana hiyo kitu na once likipigwa bas jua ushindi lazima.
South Africa timu zenye vibe ni Orlando Pirates na Kaizer chiefs tu, timu nyingine zote kama unazizidi uwezo unawakanda vizuri tu kwao.

Mamelodi Sundowns ni timu tishio kwa sasa lakini hata hivyo haina vibe
 
Unaambiwa kule South Marumo Wana goma lao huwa linaimbwa kabla ya mechi hizi za kimataifa linaitwa thombeka gobese hatar sana hiyo kitu na once likipigwa bas jua ushindi lazima.
mlianza na mazembe mkaja kwa river mkaona aitosh ss mmehamia kwa mallumo bada ya mallumo chaguen mapema kati ya assec na us alger mapema atutak lawama
 
Back
Top Bottom