Wakishinda niulizwe mimi[emoji23][emoji23]washinde tuu jmn
Unless yafanyike mabadiliko, hii mechi itakuwa ni ya kuitengenezea mazingira magumu Yanga.Yaa hawana munkari kabisa
Muache azizi wetu[emoji41]Muonyesha mapaja bwana
Anaboa sasa.Mayele apunguze uchoyo
Dah mpaka nimepiga kelele, yaani pasi ya wazi kwa Jesus hapoMayele apunguze uchoyo
Yeye ndio striker unataka aangalie nini?Mayele akishapata mpira ni kuangalia holi liko wapi.
Yupo sharp sana
Jamaa ni timu captain lazima anajuaHili kipa la galants ni li oliver khan litupu
Amen to that [emoji846]Yanga watapata goli kabla ya halftime, statistically speaking.
Hahaha naona ndiyo anachoweza vizuri.Muache azizi wetu[emoji41]