Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap ukicheki nyerere alimsaidia Mandela kwenye uhuruLeo uzalendo kwanza
Mrangi wa Yanga.Na hawa waseme wameibiwa,maana wanakwenda kula kipigo cha mbwa koko,Makomando uwanjani
Yaa kitu dugu MoyaYap ukicheki nyerere alimsaidia Mandela kwenye uhuru
Hiyo ina maanisha sisi na SA ni ntu na ndugu yake
Kwenye redio nasikia kama vile yanga wanaupiga mwingi[emoji23]Yanga wanacheza kama vile wako mbele kwa Magoli 6 kwa 0
Hata wasipocheza wao tayari ni mbingwa, kwa mujibu wa chiriku wa jangwani.Mbona Yanga Wanacheza mpira Kwa kupozaa Sana nikama hawaitaji ushindi
Achana na redio chumvi nyingi.Kwenye redio nasikia kama vile yanga wanaupiga mwingi[emoji23]
Ngoja tuone[emoji23]All the Best Yanga
Yaa hawana munkari kabisaYanga wanacheza kama vile wako mbele kwa Magoli 6 kwa 0
[emoji23][emoji23]washinde tuu jmnAchana na redio chumvi nyingi.