FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Sawa mwaka jana umecheza huko kwa loser ulifika wapi?
Loser ya mwaka jana ilikuwa na vigogo tofauti na hawa vigoigoi wanaocheza saizi.

Mlipoingia nyinyi ndio mmefanya michuano ionekane ya kipumbavu zaidi
 
Msimu naocheza mimi hayo mashindano kulikuwa kuna vichwa vigumu.

Timu zinazoshuka daraja kama Marumo hazikupata hiyo nafasi, ukiwemo na wewe.

Loser ya saizi ni ile grade ya mwisho kabisa
Acha hizo wewe
vichwa gani vilikuwa vigumu au hujui mpira unabadilika kutokana na mifumo ya uwekezaji
 
  • Thanks
Reactions: 511
Acha hizo wewe
vichwa gani vilikuwa vigumu au hujui mpira unabadilika kutokana na mifumo ya uwekezaji
Orlando utamfananisha na Rivers?

Maana huyo ndio aliwapa tickets ya kufika Nusu.
 
Leo ni vita kati ya Mayele 5 goals na Chivaviro 5 goals.
Hii competition inaweza kuharibu utulivu wa hawa wafungaji leo, kila mmoja atatamani afunge leo.
 
Attachments

  • Screenshot_20230510-154721_Chrome.jpg
    Screenshot_20230510-154721_Chrome.jpg
    17.6 KB · Views: 2
Orlando utamfananisha na Rivers?

Maana huyo ndio aliwapa tickets ya kufika Nusu.
Kwanini hamtaki kuuamini uwezo wa Yanga?

Kwanini kila timu ambayo inafungwa na Yanga nyie mnasema ni timu dhaifu?

Tumecheza hatua ya makundi tukazifunga timu kubwa kama TP Mazembe home n away lakini mkadai eti siyo Mazembe ya miaka ile.

Tumeifunga US Monastir hapa kwa mkapa lakini bado mmekuwa watu wa kuibeza Yanga, kwanini?
 
  • Thanks
Reactions: 511
Msimu naocheza mimi hayo mashindano kulikuwa kuna vichwa vigumu.

Timu zinazoshuka daraja kama Marumo hazikupata hiyo nafasi, ukiwemo na wewe.

Loser ya saizi ni ile grade ya mwisho kabisa
Sasa kwenye vichwa vigumu unashindwa, kwenye vilaini umefurushwa upelekwe wapi wewe?
 
Msimu naocheza mimi hayo mashindano kulikuwa kuna vichwa vigumu.

Timu zinazoshuka daraja kama Marumo hazikupata hiyo nafasi, ukiwemo na wewe.

Loser ya saizi ni ile grade ya mwisho kabisa
Kichwa kigumu chenu ndio alikuwa ni Berkane, Tp Mazembe, Asec Mimosa, Pyramid, Orlando pirates. Wote hao chali. Wameoneshwa kuwa walikuwa wanawaonea vilaza msimu uliopita.
 
Bahlabane ba Ntwa....
Sesifikile isikhathi sokuthi uyohlola umchamo wabasebenzi bakho, ususe lowo mkhuba kuqala.
 
Msimu naocheza mimi hayo mashindano kulikuwa kuna vichwa vigumu.

Timu zinazoshuka daraja kama Marumo hazikupata hiyo nafasi, ukiwemo na wewe.

Loser ya saizi ni ile grade ya mwisho kabisa
Kila anae kugonga wewe ni kigogo basi Juaneng Galaxy, Azam, UD Songo, Orlando pirates ni vigogo
 
Back
Top Bottom