FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Mabingwa wa Tanzania, Dar es Salaam Young Africans maarufu kama Yanga, jioni ya leo watashuka dimbani uwanja wa Benjamini Mkapa kupambana na timu ya Marumo Gallants ya kutoka Afrika ya Kusini katika mechi ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho hatua ya kwanza

Mechi hiyo itayochezwa saa kumi ya jioni, itakuwa ni muhimu kwa Yanga kupata ushindi mzuri kabla ya kwenda nchini Afrika Kusini kwa ajili ya mechi ya marudiano

Nitakuwa nawe katika kufuatilia na kuhabarisha kile kitakachokuwa kinajiri kwenye dimba la Mkapa jioni hiyo

Mungu Ibariki Yanga, Mungu ibariki Tanzania
Ahsante wanasimba leo walipanga kutuanzishia thread
 
Kwa hiyo tumejikatia tamaa kuhakikisha uwanja wa Mkapa una umeme wa uhakika maana hii mbungi ilitakiwa kupigwa saa 1 usiku.
 
Zuwena kma zuwena
IMG-20230416-WA0062.jpg
 
Back
Top Bottom