FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Game gumu upande wetu, ngoja nifunge kazi niondoke maana hata kazi hazifanyiki
 
Attachments

  • 16837177622993362571437549489456.jpg
    16837177622993362571437549489456.jpg
    510.7 KB · Views: 1
Mabingwa wa Tanzania, Dar es Salaam Young Africans maarufu kama Yanga, jioni ya leo watashuka dimbani uwanja wa Benjamini Mkapa kupambana na timu ya Marumo Gallants ya kutoka Afrika ya Kusini katika mechi ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho hatua ya kwanza

Mechi hiyo itayochezwa saa kumi ya jioni, itakuwa ni muhimu kwa Yanga kupata ushindi mzuri kabla ya kwenda nchini Afrika Kusini kwa ajili ya mechi ya marudiano

Nitakuwa nawe katika kufuatilia na kuhabarisha kile kitakachokuwa kinajiri kwenye dimba la Mkapa jioni hiyo

Mungu Ibariki Yanga, Mungu ibariki Tanzania

Ukoo wetu ni mashabiki wa Maruno Gallants kwa kurithishana, Babu yetu alianza kuishabikia tangu mwaka 1920 hivyo ushabiki wake akaturithisha mpaka sisi.....let gooo marumo gallants[emoji120][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji95][emoji95]
 
Njooni wote milio elemewa na vilio na majonzi Yanga itawapumzisha
 
Back
Top Bottom