sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
offside hii ga Marumo iwashe taa kwetu, Yanga tunakosa nafasi nyingi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwakweli tunakosa nafasi nyingi wachezaji wanahitaji umakiniHuku kitaani mikia imepiga kelele kama yote. Ila hizi nafasi tunazozichezea hizi
Tukitoboa hapaa tutajipiga kifuani mara tatu na kusema SISI NI WANAUMEEEEHii ndio mechi sasa.
Siyo wale vibonde rivers
Halafu Nabi ndiyo anamkubali kweli kweli. Yaani Tuisila Kisinda kwa sasa ni homa ya vipindi. Ile spidi yake ya kipindi kile, hana!!Huyu kisinda muda mwingi anashinda saloon kutengeneza nywele ameshuka sana
Sijui umeweza nini wewe jamaaOngezea NGO iwe Gongo wazi Yanga
Kabisa MkuuDah! Tuisila Kisinda anaharibu kabisa flow ya mpira kule mbele. I wish kipindi cha pili Kennedy Musonda, Faridi Mussa, au Mudathir Yahya.
We ni mgeni kwenye football bila shaka.Mayele anajitahidi sana yani mpaka hapa kaonesha uwezo mkubwa mno