FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Mayele anajitahidi sana yani mpaka hapa kaonesha uwezo mkubwa mno
We ni mgeni kwenye football bila shaka.
Mayele anapoteza nafasi nyingi sana ambazo zingeweza kuwa magoli, kifupi anaigharimu team! Kuna kila sababu kwa Yanga kutafuta mshambuliaji mwingine mwenye uwezo zaidi ya Mayele kwaajili ya michuano ya kimataifa.
 
usuqalile ukungena ohlelweni lwethu Marumo sizokushaya, ngeke ukholwe
 
Back
Top Bottom