FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Nafasi nyingi zinapatikana ila kuzi-convert kuwa goli ndio mtihani ambao bado Yanga hawajafaulu
 
Hawa jamaa mbona wanacheza kama wapo mazoezini!! Kwani Gongo wazi wanafanya nini uwanjani badala ya kukaba!!??
Hii ituambie kuwa ligi yetu ni ya kawaida, ukiachana na siasa za kufarijiana. Hii team inapambania uhakika wa kubaki ligi kuu huko kwao ila ipo hapa kumsumbua anayejiita bingwa na team bora(wao wanavyojiita[emoji23]).

Wakati team ya SA iliyoko mkiani kwenye ligi ya kwao, hapa kwetu hata team inayoshika nafasi ya tatu(mfano Azam mara kadhaa) haiwezi kufanya yanayofanywa na Marumo, HAIWEZI HAIWEZI.

Team inayopambania kushuka daraja ka hapa kwetu inaweza kusumbua kwenye mashindano gani?

Nasubiria kuziona hizo saba tulizoahidiwa na mashabiki wa jangwani.
 
Dickson Job amepokea kadi ya njano dakika za lala salama kwenye kipindi cha kwanza
 
Back
Top Bottom