Yanga wanawafunga hawa zaidi ya goal 2Mpira ni mzuri. Hawa sio kama wale Rivers. Wameleta ushindani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga wanawafunga hawa zaidi ya goal 2Mpira ni mzuri. Hawa sio kama wale Rivers. Wameleta ushindani.
TutakumbushanaYanga watapata goli kabla ya halftime, statistically speaking.
Utopolo wanahenyeshwa na timu inayopambana kutoshuka daraja???South wana ligi bora sana, huwezi amini hawa Marumo wanapambana kushuka daraja
Opponents karibia wote ambao yanga wamekutana nao ni vibonde,siyo kwamba wapo ndani ya uwezo wao.Yanga mna bahati sana,kwanini?
Angalia aina ya opponents mnaokutana nao,wapo ndani ya uwezo wenu kabisa
NAKAZIA.Yanga wameingia kwenye mfumo wa Marumo, wakiendelea hivi watajuta huko South.
Angebutua halafu akose Ingekuwa nongwa pale.Azizi Ki hakuwa na maamuzi sahihi
Inapaswa kuwa hivyo ili wawe pazuriYanga wanawafunga hawa zaidi ya goal 2
Hii ituambie kuwa ligi yetu ni ya kawaida, ukiachana na siasa za kufarijiana. Hii team inapambania uhakika wa kubaki ligi kuu huko kwao ila ipo hapa kumsumbua anayejiita bingwa na team bora(wao wanavyojiita[emoji23]).Hawa jamaa mbona wanacheza kama wapo mazoezini!! Kwani Gongo wazi wanafanya nini uwanjani badala ya kukaba!!??
Labda uingie ukafunge weweYanga watapata goli kabla ya halftime, statistically speaking.