Hii ituambie kuwa ligi yetu ni ya kawaida, ukiachana na siasa za kufarijiana. Hii team inapambania uhakika wa kubaki ligi kuu huko kwao ila ipo hapa kumsumbua anayejiita bingwa na team bora(wao wanavyojiita[emoji23]).
Wakati team ya SA iliyoko mkiani kwenye ligi ya kwao, hapa kwetu hata team inayoshika nafasi ya tatu(mfano Azam mara kadhaa) haiwezi kufanya yanayofanywa na Marumo, HAIWEZI HAIWEZI.
Team inayopambania kushuka daraja ka hapa kwetu inaweza kusumbua kwenye mashindano gani?
Nasubiria kuziona hizo saba tulizoahidiwa na mashabiki wa jangwani.