FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Hii ituambie kuwa ligi yetu ni ya kawaida, ukiachana na siasa za kufarijiana. Hii team inapambania uhakika wa kubaki ligi kuu huko kwao ila ipo hapa kumsumbua anayejiita bingwa na team bora(wao wanavyojiita[emoji23]).

Wakati team ya SA iliyoko mkiani kwenye ligi ya kwao, hapa kwetu hata team inayoshika nafasi ya tatu(mfano Azam mara kadhaa) haiwezi kufanya yanayofanywa na Marumo, HAIWEZI HAIWEZI.

Team inayopambania kushuka daraja ka hapa kwetu inaweza kusumbua kwenye mashindano gani?

Nasubiria kuziona hizo saba tulizoahidiwa na mashabiki wa jangwani.
Nasikia mashabiki wa makolo na nyie mme pata kombe lenu la zomea cup
 
Mbona mnapenda kutia majaribuni wenzenu? Comment kama hii unataka ujibiwe nini sasa?

Makolo hii hii iliyohenyeshwa na Azam juzi au Makolo nyingine?

Tusitiane majaribuni pulizi
Kwahiyo Buyenze, hapa unajaribu kuifananisha Azam na team inayopambania kushuka daraja?


Ama kweli tunatiana majaribuni[emoji1].
 
𝐇𝐢𝐢 𝐆𝐚𝐦𝐞 𝐢𝐧𝐚𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐤𝐮𝐚𝐦𝐮𝐥𝐢𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐩𝐢𝐧𝐝𝐢 𝐜𝐡𝐚 𝐩𝐢𝐥𝐢...

𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐚𝐬𝐡𝐢𝐧𝐝𝐚[emoji736]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi taarifa za kwamba utopolo anapelekewa moto hapo lupaso zina ukweli wowote ?
3D35761C-8AA5-409E-B4B2-1C2141AA0B93.jpeg
 
Back
Top Bottom