data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Yanakuja kutufunga 2nd half..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanakuja kutufunga 2nd half..
Timu tu inavyocheza unaona wapo pale kushindana sio kukamilisha ratiba.Hamna kitu.. yanga ndo wanachezea chances.. tungeshaongoza mdaa.
Hovyooo
Yaan hii ya leooSijui Ila Possession Yanga 45%, Gallants 55%.
Basi na ikawe kheri kwa ndugu zetu Marumokabisa mkuu, amepakiwa mkongo kutoka lubumbashi.
Mfyuuu 👽👽😖Kweli kabisa.
Sote tuendelee kuwaombea wananchi wa south africa
𝐇𝐚𝐦𝐧𝐚 𝐤𝐢𝐭𝐮 𝐤𝐚𝐛𝐢𝐬𝐚Da kweli hawa jamaa sijui wanataka nini? Wao wanajisifia tu. Utendaji 0
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapo team imejaza wazawa wa SA tupu, ipo hapa kuisumbua team yenye pros wa kutosha[emoji23].Yani ni vichekesho kwa kweli
Imemtoa pyramid ya misri,inayoshika namba 3 ligi ya misriHii ituambie kuwa ligi yetu ni ya kawaida, ukiachana na siasa za kufarijiana. Hii team inapambania uhakika wa kubaki ligi kuu huko kwao ila ipo hapa kumsumbua anayejiita bingwa na team bora(wao wanavyojiita[emoji23]).
Wakati team ya SA iliyoko mkiani kwenye ligi ya kwao, hapa kwetu hata team inayoshika nafasi ya tatu(mfano Azam mara kadhaa) haiwezi kufanya yanayofanywa na Marumo, HAIWEZI HAIWEZI.
Team inayopambania kushuka daraja ka hapa kwetu inaweza kusumbua kwenye mashindano gani?
Nasubiria kuziona hizo saba tulizoahidiwa na mashabiki wa jangwani.
Ushauri wa daktari: vuta hewa safi, pumzika na kunywa maji mengi ili kuwa salama. Hali ikizidi nione daktari.Daah! Game ngumu.
Tusubiri second half nayo tuone.
Daah[emoji23][emoji23][emoji23]Unayo hiyo sura sasa? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Kweli kabisa.
Sote tuendelee kuwaombea wananchi wa south africa
Nipo kweye maombi ya wanachi wa south africaEP beyond the infinity nakuona nakuonaaa!!✋
NAKAZIA.Marumo angekuwa kashakula mbili kipindi cha kwanza kama angekuwa anacheza na Simba
Ndio moto wenyewe huo! ..Sijui Ila Possession Yanga 45%, Gallants 55%.
Sasa Azam Fc utaifananisha team ya mkiani?
Mchawiiii uchawiniiii😖👽!Nipo kweye maombi ya wanachi wa south africa