FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Hamna kitu.. yanga ndo wanachezea chances.. tungeshaongoza mdaa.

Hovyooo
Timu tu inavyocheza unaona wapo pale kushindana sio kukamilisha ratiba.
 
Hii ituambie kuwa ligi yetu ni ya kawaida, ukiachana na siasa za kufarijiana. Hii team inapambania uhakika wa kubaki ligi kuu huko kwao ila ipo hapa kumsumbua anayejiita bingwa na team bora(wao wanavyojiita[emoji23]).

Wakati team ya SA iliyoko mkiani kwenye ligi ya kwao, hapa kwetu hata team inayoshika nafasi ya tatu(mfano Azam mara kadhaa) haiwezi kufanya yanayofanywa na Marumo, HAIWEZI HAIWEZI.

Team inayopambania kushuka daraja ka hapa kwetu inaweza kusumbua kwenye mashindano gani?

Nasubiria kuziona hizo saba tulizoahidiwa na mashabiki wa jangwani.
Imemtoa pyramid ya misri,inayoshika namba 3 ligi ya misri
 
Back
Top Bottom