FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Kwani ligi ya SA na ya EGYPT ipi ligi bora?
Haohao Marumo ndo wamemtoa Pyramid unasemaje hapo!? Kwenye michuano ya kimataifa inapofika stage ya mtoano huwa mbinu zinabadilika so mwenye mbinu bora zaidi ya mwenzie ndo hupata matokeo na wala si kipimo sahihi cha ubora wa ligi watokazo.
Ruvu Shooting inaweza kufanya haya iliyoyafanya Marumo?

Orlando na Kizer zote ziliitoa Simha Sc licha ya kuwa nafasi za hovyo huko kwenye ligi zao, Marumo hawa hapa wanaisumbua Yanga Sc(wakiwa wamejaza wazawa tu kwenye kikosi chao) ambaye kule kwao ni underdogs [emoji23]

Ligi ya SA iko mbali sana kulinganishwa na ya kwetu, epukeni siasa.
 
Kuna jamaa wa Yanga kaokoa Yanga wasifunge.
 
Ruvu Shooting inaweza kufanya haya iliyoyafanya Marumo?

Orlando na Kizer zote ziliitoa Simha Sc licha ya kuwa nafasi za hovyo huko kwenye ligi zao, Marumo hawa hapa wanaisumbua Yanga Sc(wakiwa wamejaza wazawa tu kwenye kikosi chao) ambaye kule kwao ni underdogs [emoji23]

Ligi ya SA iko mbali sana kulinganishwa na ya kwetu, epukeni siasa.
BAHLABANE BA NTWA
 
Nasikia mashabiki wa makolo na nyie mme pata kombe lenu la zomea cup
Sasa mlitaka tuwape support? Nyie pambaneni mshinde ili walau mpate nafasi ya kuendelea kupanua midomo yenu juu ya Yanga[emoji23].

Mara KUFA KIUME FC mara ZOMEA CUP, hizi issue hazitawasaidia, pambaneni.

Sisi tupo hapa kuwazomea mkishindwa.
 
Moloko anajitahidi sana kujaribu kucheza vizuri ili kufuta makosa yake lakini mwisho wake haujawa mzuri
 
Back
Top Bottom