mwanadar
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 423
- 294
Acha mfungwe ngedele nyinyiProfesa Nabi asipofanya mabadiliko ya haraka, tunafungwa. Aziz Kii, Moloko, na Tuisila Kisinda wanatakiwa kupumzishwa haraka iwezekananvyo.
Sent using Jamii Forums mobile app