FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Profesa Nabi asipofanya mabadiliko ya haraka, tunafungwa. Aziz Kii, Moloko, na Tuisila Kisinda wanatakiwa kupumzishwa haraka iwezekanavyo.

Wachezaji wazuri wapo nje! Shida iko wapi!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom