Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,869
- 14,501
Kumaliza sub zote dakika ya 66 ni risky pia, akiumia mtu mnacheza pungufuAnajaribu kutafuta matokeo zaidi, goli moja sio kitu kwenye knockouts, hasa ukiwa unaanzia nyumbani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumaliza sub zote dakika ya 66 ni risky pia, akiumia mtu mnacheza pungufuAnajaribu kutafuta matokeo zaidi, goli moja sio kitu kwenye knockouts, hasa ukiwa unaanzia nyumbani.
Mashindano ya Caf, ila juz Simba alitolewa nusu fainali ya fa kule MtwaraNusu fainali ya mashindano gani ?
Mbona yanga wakipiga mashuti yanayolenga lango unabana matacle unatakaje kiongozi?Vyovyote itavyokuwa yanga ata banduliwa sauzi
Mpira umeaanza saa ngapiKumaliza sub zote dakika ya 66 ni risky pia, akiumia mtu mnacheza pungufu
👀👀👀👀👀👀WANANCHIIIIIII LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUONESHA ULIMWENGU KWAMBA YANGA INA UKUBWA KIASI GANI.MAKOLO
WAMEJARIBU KUIKUZA MARUMO KWA KILA NAMNA ILA LEO TUTAENDA KUWAONESHA YANGA NI NANI.
EWE MWANANCHI TEMBEA KIFUA MBELE KWANI LEO NDIO TUNAENDA KUINGIA FAINALI RASMI.
LEO MADUNDUKA YATALILIA CHOONI.
Siwadai yangaaa🤣🤣🤣 Bantu Lady Numbisa
Hapa mnapulizia sana aiseeSi tulikubaliana mechi tunaimaliza hapa hapa nyumbani?
Unauona huo moto mnaopelekewa?Sisi kimoja kinatosha
Bantwe twe ba amapiano beleo tunashinda kwalo mkapa bila shida ntwelededeyanga izakubethwa emzantsi afrika