FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

[emoji3581]Pre season Avic town.
[emoji3581]Friendly matches Vs Friends Rangers, Mbuni.

Semi final CCC
Semi final ASFC
League Leaders

Hongereni sana Uto.

Msimbazi kazi yao kudalalia wachezaji akina Sawadogo
Mmshukuruni Mungu mmekutana na vimeo
 
Pale wanapocheza na washuka daraja...ngoja tuone mpk mwisho itakuwaje
 
Huyu kocha wao Kerr kawauza. Kwa haraka haraka naona hii timu yao ina changamoto ya mawasiliano katika benchi lao la ufundi.
 
Tunakumbushana tu kwa leo peke yake tuna Milioni 20 za Mama.
Kwako mwalimu kashasha;
Mabadiriko ya field marshal, dakta wa mupira Nabi yanaongesha kweli huyu ni profesa na hapa ndipo tunaona utofauti wa prof, nabi na makocha wengine [emoji1]
Asante Mungu, tulianza nawewe na tumemaliza nawewe... [emoji120][emoji120][emoji120]

Hapa hatujawafunga wacheza kwaito tu, moja lao moja la Madunduka FC.

Yanga Daima mbele, nyuma mwiko...
[emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617]
Watruuuuuuu weeeuuuwweeeeehhh [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169]
Huko kwao tunaenda wagonga kimoko cha asubuhi na mapema hawa
Hii hela ya mama tumepata tuwakopeshe simba

Walipe wachezaji [emoji23][emoji8]
WANANCHI WENZANGU MNAONAJE WAZO LA BABA SWALEHE HAPO CHINI!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

MIMI NAONA TULIIFANYIE KAZI NA IKIZINGATIWA HAWA NI NDUGU ZETU[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom