FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Makolo wamenuna na kombe lao la kufa kiume
AddText_05-07-05.55.40.jpg
 
Wale wa mafichoni leo wametokezaaaa
Wapi mwana yanga kindakindaki Bantu Lady nitakupongeza tuu ikiwa mtabeba ubingwa..maaana hata sisi kwa level hii tulishaipitia 🙂🙂🙂
Mtani Kalpana hata kwa hatua hii tupongeze tu, hakuna namna Yanga haikamatiki, haishikiki...
Karibu Yanga huku kwetu raha tu 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️💚💛💚💛💚💛💚
 
Back
Top Bottom