Sandiego
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 1,288
- 2,075
Mkuu milion ishirini imeingia leo!Hahaaha umeipima mizani gani mkuu..
Haya ya huku jamvini au?
🙂🙂🙂
tumekubaliana tuwakopeshe ili mlipe wachezaji wenu[emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu milion ishirini imeingia leo!Hahaaha umeipima mizani gani mkuu..
Haya ya huku jamvini au?
🙂🙂🙂
Wazee wa ngenga mshafikaMateso umeyataka mwenyewe
Wewe ni makolo?Mafuriko kwenye "notification bar" yangu [emoji23]View attachment 2616922
Mi leo hata kula sili!Raha sana wallah 💚💚💚💚
Ushauri bora kabisa kuwahi kutolewa tangu kuumbwa kwa ulimwengu!Simba kuweni wazalendo, shabikieni Yanga. 😉
Kula wee kwanini usilee wakati wenzio wala hukoo na hela wapewaaa yakheeeMi leo hata kula sili!
🤣🤣🤣 Nimecheka sana. Lol.Chai iko wapi
Mlilifanyia figisu likafungiwa....Sipati picha lile li zee Haji Manara leo
Kwa raha zangu tu yaani.Kula wee kwanini usilee wakati wenzio wala hukoo na hela wapewaaa yakheee
Lipo linakera huko instagrameeMlilifanyia figisu likafungiwa....
Lingekuwa free mngekiona...
Pole sana Mtani.Nimechukia basi tu. Najua mwenyewe zaidi siri yangu ☹️
Mimba imekukataa toaVAR ya leo inaona offside za Marumo tu
Bado najiuliza haya mafala mazulu yaliwatoaje Pyramid yamenikera majinga mataahira 😡🤬
Vimbenju sie tuwapikie nyie vipwipwi?? Bora ulale njaa tuu sio ushibe uzidi kutukera sie.. (in zenjis voice)Kwa raha zangu tu yaani.
Ila nikipata kimbenju akanipikia, mie nala!
Koh koh Yaaww yaaww!!Pole sana Mtani.
Y a t a k w i s h a. Teh teh