Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Nikajua utajipiga bani mwenye ,Kumbe bado upo unachungulia
Malizia kwenye kombe la mbuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malizia kwenye kombe la mbuzi
Kumekucha[emoji23]Utopolo akishinda leo nipigwe Ban ya angalau siku mbili
Kombe la mbuzi kwanini lilikushinda ukachoma moto uwanja wa watu🤔🤔Utahaira ni mzigo na mbumbumbu ni mbumbumbu tu vichwa vyenu vimejaa kamasi tuMalizia kwenye kombe la mbuzi
Wewe tulia kolozHawa mazembe wamekua wazembe kweli kweli
Mazembe hamna timu hapo hata Namungo angejipigia nje ndaniNikajua utajipiga bani mwenye ,Kumbe bado upo unachungulia
[emoji23][emoji23]Kumekucha[emoji23]
Luc Eymael apewe heshima yakeKombe la mbuzi kwanini lilikushinda ukachoma moto uwanja wa watu[emoji848][emoji848]Utahaira ni mzigo na mbumbumbu ni mbumbumbu tu vichwa vyenu vimejaa kamasi tu
Guvu moya wako wapi Leo?
Wanaoshiriki club bingwa wamepigwa tatu usiku usiku, tunaamka asubuhi tunaambiwa kuna supu ya Simba.Hili ni kombe la losers .Mmelifanya kuwa kombe kuuuuuuuuuubwa!!! Wanaoshiriki klabu bingwa wao wasemeje?
Rage kwanza ndio apewe heshima maana aliona kitu vichwani mwa mashabiki wa simbwaLuc Eymael apewe heshima yake
Kama hutaki kusumbuliwa, hamia Bombay India.Basi Yanga wenyewe sasa hatunywi maji leo
Wanasumbua mtaa mzima
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Leo umebadili kauli ?Mazembe hamna timu hapo hata Namungo angejipigia nje ndani
Lingekuwa ni kombe la mbuzi, msingepigwa faini ya $ 10,000/= na CAF, kwa kufanya vitendo vya kishirikina kule Afrika ya Kusini.Malizia kwenye kombe la mbuzi
Na nyie leten timu yenuKwenye Michuano Ya losers..!