FT: CAF Confederation Cup | TP Mazembe 0-1 Yanga | Stade Tp Mazembe | 02.04.2023

Wananchi wamekamata mechi[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]. Wao ndio wanaoamua Tp Mazembe wacheze vipi
 
Hivi ni tv yangu tu ama,,mbona quality ni ndogo sana leo khaaaa!
 
Hii Tp mazembe ingekutana na mnyama simba ingekula sio chini ya kamba 7
 
Daa Africa ni Africa tu ,sijui wanatumia camera za Tecno ....

Mbona epl mpira unaonekana vzuri na Waafrica wetu huwa wanaonekana vzuri ? Pitch inaonekana vzuri ....

Huku sasa utafikili ni mashujaa fc ya kigoma inacheza huko kibondo ,hakuna quality kabisa [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…