mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
- Thread starter
- #81
Wananchi wamekamata mechi[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]. Wao ndio wanaoamua Tp Mazembe wacheze vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu amepaniki angempasia mwenzake ingekuwa goliHatariii pale Mudathir anapiga shuti ila linaenda juuu!!!! Ilikuwa nafasi nzuri ya goli Kwa Wananchi
0-0 ila Wananchi wametia Kambi lango la Mazembe. Muda wowote Mazembe atapigwaNgapi huko wakuu
Kiukweli kabisa kila mtu anataka afunge yeye tu sio msonda wala nani ubinafsi ujinga sanaKinacho waponza utopolo ni ubinafsi
Angetulia mudathir ilikua kamba ileKiukweli kabisa kila mtu anataka afunge yeye tu sio msonda wala nani ubinafsi ujinga sana
Hilo ni kombe la mbuzi mkuu, usitegemee watu wapoteze resources kwaajili ya watu waliofeliHivi ni tv yangu tu ama,,mbona quality ni ndogo sana leo khaaaa!
Anhaaa, ndo mana aisee daaah.Hilo ni kombe la mbuzi mkuu, usitegemee watu wapoteze resources kwaajili ya watu waliofeli
Noted!Utopolo akishinda leo nipigwe Ban ya angalau siku mbili
Wenyewe wanaona bonge la mechi, kumbe viazi tu woteWazee wa Vita vs Mazembe iliyokongoroka
Kilichowafanya muwashe Moto ugenini Ni Nini sio hili kombe ?Hilo ni kombe la mbuzi mkuu, usitegemee watu wapoteze resources kwaajili ya watu waliofeli
Tatizo lenu mmekalili,, inamaana watu wasijifukize hukumbuki ilikua kipindi cha covidKilichowafanya muwashe Moto ugenini Ni Nini sio hili kombe ?
Yani unataka kabisa kupoteza bando lako kuangalia uchafu huu?Wakuu mwenye link ya hii game plz, Charity begins at home.
Famasiala nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii Tp mazembe ingekutana na mnyama simba ingekula sio chini ya kamba 7