FT: CAF Confederation Cup: Us Monastir 2- 1 As Real Bamako

FT: CAF Confederation Cup: Us Monastir 2- 1 As Real Bamako

mwarabu feki

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
811
Reaction score
1,811
Mchezo mwingine wa kundi D michuano ya shirikisho barani Afrika unapigwa mida ya saa 5 usiku Kwa muda wa Afrika Mashariki.

Mchezo huu unasubiliwa kwa hamu hasa na wapenzi wa soka hapa nchini Kwa utatoa picha ya nani ataongoza kundi hili baina ya vinara waiopo Sasa ambao ni Yanga au Monastir..

Ili Monastir wawe vinara wa kundi basi inawabidi washinde kuanzia ushindi wa goli 3-0, je wataweza?

Stay tuned.

1680504296918.png
 
Dak 36, Monastir wanapata bao la kuongoza kupitia Sallah Harrabi
 
Back
Top Bottom