FT: CAF Super Cup Final | Al Ahly 0 - 1 USM Algier

Ufafanuzi mzuri
 
Achana na huyo mjinga.
 
Nna uhakika huyu alie anzisha hii thread kuna kitu kitu alikua anataka kusema kama Al Ahly angeshinda ila ndio basi tena Mungu fundi amebakia na maneno yake mdomoni huku anasonya
 
Tungewaombea USM Alger ila Uto wataanza upumbavu kujilinganisha na Al Ahly.

Utasikia, Utopolo sisi ni bora. Hao waliowapiga Al Ahly sisi tuliwafunga kwao.

Pumbavu.
Mpira hauna maombi kama unajua kuomba ombea huko Zambia leo
 
Kuna kipindi bingwa wa Europa League anamfunga Bingwa wa UEFA CL kwenye UEFA Supercup, kwa hiyo tusema pia Europa ni bora kuliko UEFA?
Sevilla alitoa draw na City kwenye supercup mwaka huu, kwa hiyo tuseme Sevilla analingana na City kwenye ubora?
 
Kuna kipindi bingwa wa Europa League anamfunga Bingwa wa UEFA CL kwenye UEFA Supercup, kwa hiyo tusema pia Europa ni bora kuliko UEFA?
Sevilla alitoa draw na City kwenye supercup mwaka huu, kwa hiyo tuseme Sevilla analingana na City kwenye ubora?
Ndio mtie akili hakuna mashindano madogo by the way maana ya super cup ni kumtafa mbabe wa wababe kasha patikana jibu unalo
 
Ndio mtie akili hakuna mashindano madogo
Mashindano yanatofautiana ubora ndio maana aliyefeli Klabu Bingwa anatupwa Shirikisho ila aliyefeli Shirikisho hawezi kutupwa kwa mabingwa, na hata zawadi kwa mshindi wa Shirikisho ni ndogo mno ukilinganisha na zawadi kwa mshindi wa mabingwa...Tumieni akili hata kidogo tu
 
Unadhani Rage alitamka bahati mbaya? aliwajua watu wake, sasa imekuaje imekuaje alie feli kamkalisha kipanga? tena kashindwa kupata hata goli la offside
 
Haya sasa zamu yenu kufika fainali
 
Haya sasa zamu yenu kufika fainali
 
Haya sasa zamu yenu kufika fainali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…