FT: CAF Super Cup Final | Al Ahly 0 - 1 USM Algier

63'

Al Ahly wanapiga freekick mpira unaokolewa na kutoka nje na kuwa kona

Kona imepigwa mpira haujawa na madhara
 
USM Algier wanajiangusha
 
Hii sio mechi ngumu ni USM Algier tun amekamia
Fainali kaka kila mchezaji anakaza na ndio maana Ureno alipoteza kombe la Uero kwenye ardhi yake na alipigwa goli moja.

Ujinga kama huu ufanye kwenye ligi au makombe yasio na hadhi, fainali ina hadhi yake.
 
Fainali kaka kila mchezaji anakaza na ndio maana Ureno alipoteza kombe la Uero kwenye ardhi yake na alipigwa goli moja.

Ujinga kama huu ufanye kwenye ligi au makombe yasio na hadhi, fainali ina hadhi yake.
Nimeangalia kile kikosi kilichocheza na nyie na hiki kinachocheza na Al Ahly nimeona kuna rotaion imefanyika kwa USM Algier ya wachezaji kama 5 hivj


Hiki ndio kikosi kinachocheza muda huu



Hiki ndio kikosi kilichocheza na nyie mechi ya mwisho

Hawa ndio wachezaji walioongezeka

Lamara, Benzanza, Tumisang, Fattouhi, Belkacmi
 
USM Algier anaweza akachukua kombe
 
Point yako ni ipi?
 
Hakuna bahati hapo yaani misimu miwili mfululizo bingwa anatokea upande wa shirikisho.
Maana yake USM aliona eneo la mbele ndio lililokuwa bovu ila kutokana na kwamba walicheza na vibonde hawakuona tatizo
 
Katika izo timu mbili hakuna ambayo Simba anaweza kutia pua.
Kama ule moto waliopelekewa na Yanga kule Tanga uliwashinda waka okolewa na marefa, Wataweza kumudu kasi hii inayokwenda na mechi inayo pigwa apa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…