Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Al Ahly kapasuka mwanzo mwisho dadeki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia dogo sija betia timu nme weka magoliNa siku ya AFL usirudie makosa ukaibetia
kwangu betting ni starehe sio source of income so chill outKivyovyote vile ila uwe makini usije kuigharimu familia ikalala njaa kwa uzembe wako
Sisi tunatembea na zile za CAF mzee, walau kidogo mashabiki wa USMA wangekuwa na midomo kama yenu kidogo wangeeleweka.Lkn hao hao si ndio walio ndaa hizo chati mwaka ulipita na mwaka huu,why useme mwaka huu wamepwiyanga ila miaka ya nyuma wamepatia, maana humu kuna thread mbili za Okwi za nyuma alipost rank kutoka kwenye source hiyo hiyo.
Yani kiufupi madunduka ni mambumbumbu. Watakuja sasa HIV hapaClub bingwa nyenyeeeee. Sasa tumejua ni mashindano gani yalikuwa magumu.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Mazombie FC wakikusikia mi simoClub bingwa nyenyeeeee. Sasa tumejua ni mashindano gani yalikuwa magumu.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Wakati aliye zipost ni mwenzenu Okwi au mnatembea na za CAF baada ya hizi kuwaweka level za chini. Maana mwaka jana mlizileta nyie wenyewe humu JF.Sisi tunatembea na zile za CAF mzee, walau kidogo mashabiki wa USMA wangekuwa na midomo kama yenu kidogo wangeeleweka.
Ni kweli,imekuwa kama Sevilla na Europa yakeHakuna bahati hapo yaani misimu miwili mfululizo bingwa anatokea upande wa shirikisho.
Betting sio ajira kwangu sijui kwako weweStarehe ukipuna
Ukiliwa bado itakuwa ni starehe?
Mkuu, sisi unatuonea bure tu. Zile ranks hatujazitoa sisi. Walalamikie waliozitoa!Kituko ni kwamba, utakuta uto wanang'ang'ania kuwa nafasi ya tatu Afrika mbele ya USMA ambaye alibeba kombe mbele yao na sasa anasumbuana na Ahly hapa.
Kinachochekesha zaidi kigezo kikubwa wanachotumia kung'ang'ana kuwa juu ya USMA ni medali na kwamba USMA hawakustahili kombe ila wao.
Kituko ni kwamba, utakuta uto wanang'ang'ania kuwa nafasi ya tatu Afrika mbele ya USMA ambaye alibeba kombe mbele yao na sasa anasumbuana na Ahly hapa.
Kinachochekesha zaidi kigezo kikubwa wanachotumia kung'ang'ana kuwa juu ya USMA ni medali na kwamba USMA hawakustahili kombe ila wao.
USM Algier waliocheza na Yanga sio hawa waliocheza na Al AhlyNafasi ya tatu wanang'ang'ania kwa Uto ndio walioandaa hizo rank?
USMA kusumbuana na Al Ahly ni credit kwa Yanga kwasababu inaonesha kweli fainali alicheza na timu bora na hata kumfunga USMA nyumbani kwake ni kipimo bora kwa Yanga kwamba kamfunga timu iliyobora na sasa ndiye kidume cha mashindano yote ya CAF huyo.
Tuje sasa kwenye ishu ya rank maana imewatoa watu mapovu leo lakini kipindi Simba anawekwa kwenye ubora kumzidi Sevilla hamkuwa mnahoji.
Ipo hivi,. IFFHS inajihususha na namba pekee na ndio maana wanaitwa international federation of football history and statistics, wao wana deal na overall performance ya timu katika michuano yote anayoshiriki ( michezo ya kitaifa na kimataifa) kisha wana record kila kitu kwanzia magoli ya kufunga, idadi ya magoli ya kufungwa, idadi za ckean sheet, idadi ya michezo uliyoshinda, n.k wanachukua kila data inayohusiana na performance kisha vinawekwa katika asilimia ndipo unaona mwisho wa siku wanaweka rank na point. USMA kafanya vizuri kwa kuchukua kombe la shirikisho lakini je kwenye hilo kombe la shirikisho lakini je anatakwimu nzuri kuizidi Yanga? Na vipi katika mashindano ya ndani je ana takwimu bora kumzidi Yanga?
USM Algier waliocheza na Yanga sio hawa waliocheza na Al Ahly
Kuna mabadiliko ya wachezaji wa tano kwenye kikosi
Hayo mabadiliko sio madogo
Na hayo mabadiliko yamechukua nafasi kubwa kwenye forward line maana yake hilo ndio eneo lililokuwa na udhaifu kwa msimu uliopita.