Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,776
- 6,825
Kabisa mkuu, sina amani kabisa akiendelea kuwepoHuyu mwamba wakiendelea kumuacha basi kipindi cha pili tujiandae tu kwa maumivu. Maana upande wake leo ndiyo umegeuka kuwa uchochoro wa hao jamaa.
Ngoja tuone hii mechi uto wanashinda ila kikombe hawachukuiMamaeee, hapatakalika[emoji23]
Na hizo kelele zitadumu walau kwa miaka kadhaa, ndiomaana wapenda amani hatutaki hilo litokee.
YANGA anaongeza bao la piliTukirudi hivi kipindi cha 2, hii mechi itaisha sare au tutafungwa.
Watoto wa kambo hua hamna jema
Najua nia yenu mnataka mnitoe mchezoniUtakufa kabla ya siku zako
Hahaha 😂😂😂😂😂 mkuu tukishinda mtafute chochoro ya kujifichaEeeh Mungu tuepushe na dhahama hii
Matusi ya nini Wewe kenge , Kwa hiyo watu wote unataka wawaze kama Wewe na utopolo yako?Jifunze kuandika na usiwe kama kipande cha matako mkuu
Acha kabisaHuku mtaani vitoga washaanza kupuliza mavuvuzela.
Hapo ni halftime
Wakichukua kombe hali itakuwaje?
Hata kama anafanya kazi kubwa. Bahati mbaya ameelemewa, na tayari ana kadi ya njano.Una maanisha nini kusema uchochoro huoni kazi anayo ifanya?
Dakika 45 za mwanzo zimetosha kuwapasha joto matumbo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngj tuone zijazo ahahahaNi swala la muda tu مسنيطننطنينيننHABIB HABIB
Hahaha.!Matusi ya nini Wewe kenge , Kwa hiyo watu wote unataka wawaze kama Wewe na utopolo yako?
Leo Lomalisa yupo katika kiwango kozuri kabisa ufanisi wake umekuwa mkubwa haswa katika kutoa pasi zenye macho.Una maanisha nini kusema uchochoro huoni kazi anayo ifanya?
Ametisha sanaaaa[emoji7]Djuma Shabani [emoji169][emoji172][emoji120]View attachment 2645170