FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Mkuu yani kitendo cha Diarra kudaka ule mpira wala nisiwe mnafiki

Yani roho imeniuma kama ngozi ya govi imebanwa na zipu

Kama ni mwanaume nadhani umenielewa
Au ngozi ya mbupu, kwa tusiokuwa na magovi[emoji23].
 
Mashabiki huwa hamueleweki, last week mlilaumu sana Lomalisa kutokea benchi mkadai hii game hatakiwi kukosa, hamkujua kuwa ni uchochoro?
Mimi sikuwa mmoja ya hao mashabiki waliolaumu. Na sababu yangu iko wazi kabisa.

Kibwana Shomari na Dickson Job wana kasi ya kuendana na washambuliaji wa pembeni wa Usm Alger. Na ifahamike fika ninauheshimu uwezo wa Lomalisa. Ila hofu yangu ni kadi ya njano aliyopewa, pamoja na kasi yake kwenye huu mchezo.
 
Back
Top Bottom