FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Mkuu yani kitendo cha Diarra kudaka ule mpira wala nisiwe mnafiki

Yani roho imeniuma kama ngozi ya govi imebanwa na zipu

Kama ni mwanaume nadhani umenielewa
Subiri la Pili likiingia maumivu yake itakua km vile Nyoso alivyomgusa Bocco na kumpapasa
 
Tutazoea tu mkuu...[emoji23][emoji23]...hata walipofika fainali tulizoea mbona...[emoji23][emoji23]
Sio kwenye kombe mkuu, yani hatutakuwa na kauli. Acha walikose tujipange wote.

[emoji23]
 
Embu ngoja wazee wa Tanga tushushe kamvua tumalize mechi hii
 
Penati.
Haya Yanga kunjeni vidole akose.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…