Wana-USMA hatuna wasiwasi, kama Yanga wataongeza goal bado tutakuwa penalty moja kwa refa, labda matokeo yabaki kuwa hivihivi.Basi kama imeandikwa achukue Yanga basi muache achukue
Wana nyota ya kufungwa.Dah
Hawa jamaa wanakosaje penati asee??
Wewe ni mwarabu!? Warabu ni watu wapuuzi sanaAcha upumbavu wewe,ongelea soka acha kuleta chuki zako za kike hapa,huu ni mpira na sio siasa.
Goli la Pili linakuja kwenye hio SUBMungu wabariki USMA
Tulikuonya mapema.Aiseeeee leo nimeshuhudia maajabu ya mpira