Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Leo sub imefanyika mapema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo sub imefanyika mapema.
Na bado goli la Pili ndio utakua umejinyea kabisaAiseeeee leo nimeshuhudia maajabu ya mpira
Uliwasiliana nae?
Ndo basi tena yanga anaishia kua mshindi wa piliMatokeo yakibaki hivi inaenda mikwaju ya penat au inakuaje?
Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
Kabisa....bora Yanga walibebe tu.Hawa usm alger nishawakataaa kuanzia sasa.bora wanangu yanga washinde potelea mbali watatamba wiki Moja watatulia mana hili kombe sio kubwa kivileeeeee.ukubwa tunalipa sisi wabongo kwakuwa tumechelewa kuujua Mpira.
Man of the match Diaraaaa the mtu nanusu!!💪💪💪💛💛💚💚Huyu kipa wa Yanga ni 🔥
Bwana weeeeee acha tuNa bado goli la Pili ndio utakua umejinyea kabisa
Yeahp! kikubwa dua tu. huu ubingwa wetu tu.Yeah
Kombe tunabeba hili
hovyo sana huyuMwanyeto kapokea njano
Kuna RED card inanukia hapa.Mwanyeto kapokea njano
Mungu wa watanzaniaMungu wa Yanga Mungu wa Isaka Mungu wa Yangaaaaa🤸🤸🤸🤸