Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Baba Swalehe 😁Wewe ni mwarabu!? Warabu ni watu wapuuzi sana
Daaaah yani leo hata tukishinda ila maumivu nimeyapataWana-USMA hatuna wasiwasi, kama Yanga wataongeza goal bado tutakuwa penalty moja kwa refa, labda matokeo yabaki kuwa hivihivi.
Matokeo yakibaki hivi inaenda mikwaju ya penat au inakuaje?Wana-USMA hatuna wasiwasi, kama Yanga wataongeza goal bado tutakuwa penalty moja kwa refa, labda matokeo yabaki kuwa hivihivi.
Ni wapi umetukanwa? Yani comment yangu imekuumiza nini kaisi cha kunitukana? Au inatakiwa kila mtu ashabikie Yanga?Utakuja kufir******
Wanatuchania mikeka aseeWana nyota ya kufungwa.
Mkuu Yanga wanastahili hili kombe.... Wapo bora sana kila idara.. Sisi Simba tuna blah blah nyingi tu na mihemko kuanzia viongoz mpaka mashabiki.. Tujifunze mazuri ya wenzetu!Basi kama imeandikwa achukue Yanga basi muache achukue
Hata akipoteza hatuna tunachomdai kazi kaifanya mengine majaliwa tuYanga hii mechi anapoteza...
Likiingia la Pili mtahama Nchi 😃Yanga Tulieni,,,,,,,,,,msije mkakimbiana[emoji125][emoji125][emoji125]
USMA anabeba [emoji471]Matokeo yakibaki hivi inaenda mikwaju ya penat au inakuaje?
Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
tumeelewa mwananchiMarrison in
Pole sana.Daaaah yani leo hata tukishinda ila maumivu nimeyapata
Kuna goli la Pili hapoYanga wawe na utulivu Hawa Jamaa wamepata pressure kubwa ndio nafasi ya kuwafunga ,shida ya Yanga ni papara
Unakata tamaa mapema sana mwana-USMA mwenzangu.[emoji23]Aiseeeee leo nimeshuhudia maajabu ya mpira
Umekufaje Leo kiume au ?Daaaah yani leo hata tukishinda ila maumivu nimeyapata