Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindi wa Penati????Full Time CAF CONFEDERATION CUP FINAL
USM ALGER 0 - YOUNG AFRICANS 1 (Djuma Shaban)
Asanteni Yanga kwa Ushindi, Japo hatujabeba kombe[emoji123]
Mapambano Yanaendelea, hakuna kukata tamaa [emoji172][emoji169]
Daima Mbele, Nyuma Mwiko
Watani wote hovyo wanakufabkiume ndio nini watu tunataka ndoooMtani mmefanya vizuri..ni fitna za mwarabu tu leo, na wivu wa wanathiiimbaaaa
Makasiriko ya Nini??Wajjnga tu ndio watadharau Yanga kwa mchezo waliocheza na hatua waliofikia, ni mashoga ndio hawataona Yanga ni timu bora kiasi gani
hongereni yanga mmeiwakilisha vyema tanzania, ingawa mimi simba ila mmetuheshimisha.Sio mbaya tumekufa kiume
Uzuri hatua hii kwa mujibu wa CAF hujawahi kuifikia, wewe utakuwa mtu wa robo siku zote Mwakarobo.Yeah, mwakani mtolewe CAFCL hatua za awali kama kawaida yenu ili mje huku.
hahaha! Huku sio lelemama tumia kila zana ulinayoHakuna mpira wa hivi sehemu yeyote duniani
Mpira ambao mipira miwili miwili inarushwa ndani ya uwanja
Mechi inasimamishwa kwa sababu ya moshi
Mpira unaharibiwa kipuuzi tu
huo upepo tu.wapo kwenye siku zaoIla tuacheni utani, hawa Uto SIMBA tusipojipanga kazi itakuwa ni kukaa pembeni na kuwaombea mabaya kama hivi.
Lilikuwa lao tangu lini, na walipewa na nani?Hongera uto ukitoa figisu zao ili kombe lilikuwa lakwenu.
Kwa hapa Utopolo mnastahili pongezi ila kikubwa mkosa kombe wajinga nyinyi
Yameshapita hayo. Sasa tunaganga yajayo. Sasa nguvu na akili zoye tunazielekeza kwenye fainali nyingine iliyobakia.Yanga walistahili kushinda kwa kila namna, kosa moja waliruhusu kufungwa magoli 2 - 1 nyumbani
Goli la Penati halina ladha mkuu ..Ukisikia kufa kiume sasa ndiyo huku. Yaani bingwa anachukua kikombe, huku akiwa amegongwa mbele ya mashabiki wake lukuki.