FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Ila tuacheni utani, hawa Uto SIMBA tusipojipanga kazi itakuwa ni kukaa pembeni na kuwaombea mabaya kama hivi.
Yanga wamekutana na timu dhaifu Sanaa.....zingine zimeshuka daraja hukoo .....

Ndio maana likaitwa kombe la loosers
 
Kwa hiyo Yanga mmepigwa mamoshi home and away na kombe mmekosaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…