FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

KUFUATIA MAUJINGA MENGI YALIYOTOKEA LEO UANJANI IKIWA MOJAWAPO LA VIJANA CHIPUKIZI WAOKOTAJI MIPIRA KUTUMIKA KATIKA KUPOTEZA MUDA, NAISHURI TFA YAPELEKE MAPENDEKEZO CUF KUWA FAINALI ZA MASHINDANO YA NAMANA HII, YASIFANYIKE KATIKA NCHI HUSIKA. IWE KAMA VILE ULAYA WANAVYOFANYA
 
Ushauri mzuri
 
Kwa niaba ya Ahmed Ally, namwakilisha kusema wapinzani wetu young Africans wamefanya vizuri katika fainali ya leo, hii imeonesha juhudi, hari, morali, uwezo, wa young Africans. Hongereni Sana kocha, wachezaji, mashabiki na watanzania kwa ujumla. 😊🙏
 
Ifike hatua FIFA wayaadhibu haya mataifa yenye usengeusenge kama hili la leo mpira wameshindwa kucheza uwanjana wanatumia siasa chafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…