Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha.Kama tako lako
Potelea mbaliNyie waraabu koko
Rage aheshimiwe sana popote alipo, leo USM wamekuwa prison ?Hawa Prisons wa Algeria mbona wanawalea sana hawa uto
Kidudeeee kinauma 🙄Ni muda wa kuingia makabi lipepo Junior مسيويويوريوطرطرطرطريرتطريرطرطرتوننHABIB HABIB THALATHA BIN THIFULI [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
weka akiba weweYanga hii mechi anapoteza...
[emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kidudeeee kinauma [emoji849]
Kutamkiana makaburi tena? Take it easy. Jamaa ni shabiki tu.Utakufa kabla ya siku zako
Ashapoteza atapoteza mala ngapiYanga hii mechi anapoteza...
Juzi kocha alilaumiwa sana kumuanzisha Lomalisa na mkadai kuwa game hii aamzishwe kwakua ni mzuri kwa kushambulia.Upande wa Lomalisa utasababisha maafa makubwa, iwapo tu hautafanyiwa kazi mapema.
Kibwana Shomari aingie mapema iwezekanavyo kipindi cha pili, ili kuokoa jahazi.
Ukitoa lile goli sijaona mpango wowote wa kuongeza goli lingine. Mayele na Musonda wapo dunia ya peke yao.YANGA anaongeza bao la pili
Unatype kiarabu hovyo ilimradi umebofya herufi tu hakuna unachojua hapo , angalia kijana utajikuta unajitukana bila kujua.Ni muda wa kuingia makabi lipepo Junior مسيويويوريوطرطرطرطريرتطريرطرطرتوننHABIB HABIB THALATHA BIN THIFULI [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Hakika inafana sanaHahaha.
Ikitokea ni kuendelea na mambo mengine tu na kuwaachia uwanja.Huku mtaani vitoga washaanza kupuliza mavuvuzela.
Hapo ni halftime
Wakichukua kombe hali itakuwaje?
Siyo leo tu, nimekuwa nawaita hivyo kitambo. Wanashika nafasi ya 8 kwenye ligi yao.Rage aheshimiwe sana popote alipo, leo USM wamekuwa prison ?