Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Nani kakuambia? Ikibaki hivi usm mabingwa kwa goli la pili la ugeniniFainali Haina magoli ya ugenini wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakuambia? Ikibaki hivi usm mabingwa kwa goli la pili la ugeniniFainali Haina magoli ya ugenini wewe
Yanga mtajuta kufungwa mbili mechi ya nyumbani.
Refa kawa fair sana leoRefa nampa 100 chini ya 100
Wanatukomeshaaa[emoji23]wameanza mamoshi yao.
Bado, mwenye mpira hata dk moja inatosha, umesahau Yanga alipigwa ndani ya dakika moja baada ya yeye kufunga?mpira umeisha mshindi nani sasa
USMAmpira umeisha mshindi nani sasa
Na iwe hvyo mkuu nashusha na maombi mazitoHawawezi kuchukua hilo kombe
Linabaki kwa waarabu
Kweli kabisaMwaka huu hatuchekani. Uto wajilaumu wenyewe kuzingua nyumbani kama sisi Simba tunavyojilaumu game ya Wydad nyumbani.
Yanga mshindi wa pili
A a a we we tulia dawa iwaingie si mlipigwa two Okloko Kwa mkapa